Hizi ndio Aina Zetu Za Bidhaa

Bidhaa Mpya | New Products

Haijawahi Kuwa Rahisi Kama Hivi

Jifunze Jinsi Tunavyofanya Kazi na Wakulima na Wauzaji Wa Mazao Na Mifugo Kupitia Mchoro Huu.

FURSA MPYA | NEW OPPORTUNITIES

SHAMBA DARASA

Sajili Shamba Lako Leo Ili Kupata Elimu,Masoko,Mtaji Na Ukuze Mtandao Wako Wa Kilimo Biashara

Mradi huu unasajili mashamba kote nchini na kuwawezesha wakulima kwa kuwapa elimu ya kilimo biashara kwa vitendo, kukuza mitaji yao na kupata masoko yenye tija

Bonyeza Hapa Ili Kusoma Zaidi Juu Ya Fursa Hii

UZA, NUNUA NA SAFIRISHA MAZAO KUPITIA SIMU YAKO

Kupitia Simu Yako Ya Mkononi

Unaweza kununua pemebejeo, mashine za kilimo, kuuza na kununua mazao ya kilimo na mifugo popote ulipo kupitia AJE-FARMS. Wasiliana nasi leo !

Bonyeza Hapa Kusoma Zaidi Juu Ya Fursa hii

Ufugaji Wa Kuku Vijogoo

  • Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji

    "AJE-FARMS wameweza kunisaidia kuniunganisha na wanunuzi wa kuku wa kienyeji na sasa siwazi tena kuhusu masoko. Sasa nguvu kubwa ipo kwenye ufugaji wa kuku wengi zaidi"

    - Rahel; - Magu, Mwanza

    Soma Zaidi

  • Mfugaji Nyuki Zanzibar

    "Nimeiona fursa ya masoko na mtandao kupitia AJE-FARMS na kwa sasa nina uhakika mradi wangu utakuwa mara dufu sasa"

    -Mohd; Mfugaji wa Nyuki - Donge: Zanzibar

    Soma Zaidi... 
  • Cycling from Rwanda to Tanzania Through Plateaus And Plains

    "Tourism shouldn't focus on only wildlife but it should be an opportunity for both natives and tourists to meet in real life for cultural exchange while sharing experiences to solve the global challenges such as global warming, pandemics, food insecurity, wars and poverty"

    Click the Link to Watch the Video 
1 of 3