1
/
of
3
ajefarms
Bata Bukini
Bata Bukini
Regular price | Bei ya kawaida
250,000.00 TZS
Regular price | Bei ya kawaida
300,000.00 TZS
Sale price | Bei ya mauzo
250,000.00 TZS
Unit price | Bei ya kila moja
/
per
Couldn't load pickup availability
Ndege wa bata bukini ni mapambo.Kwa sababu ya uwezo wake wa kusikia vishindo vya mbali ni ndege mlinzi kwa ndege wengine shambani. Zipo aina kuu mbili za bata bukini yaani weupe tu na wenye mabaka ya weupe na kahawia. Ndege hawa hutaga mayai kati ya 6-12 na huyaficha na kisha kuyaatamia kwa siku 28. Katika picha ni bata bukini wakubwa walio tayari kuanza kuzaliana
Share


