Skip to product information
1 of 2

ajefarms

Bata Muscovy Wakubwa

Bata Muscovy Wakubwa

Regular price | Bei ya kawaida 30,000.00 TZS
Regular price | Bei ya kawaida 35,000.00 TZS Sale price | Bei ya mauzo 30,000.00 TZS
Sale Sold out | Imeisha

Hawa ni bata wenye kinga kubwa na hufugwa kwa gharama ndogo ya chakula. Hupendelea kula chakula cha majimaji na kuogelea.

Taratibu za malipo na usafirishashaji: Mara baada ya kuchagua bidhaa utatumiwa picha zaidi kwa WhatsApp kisha unaweza kuifuata bidhaa au kutumiwa baada ya kuchangia gharama za usafirishaji wa bidhaa. 

 

View full details | Angalia maelezo yote