Skip to product information
1 of 3

ajefarms

Bata Mzinga /Turkeys

Bata Mzinga /Turkeys

Regular price | Bei ya kawaida 250,000.00 TZS
Regular price | Bei ya kawaida 300,000.00 TZS Sale price | Bei ya mauzo 250,000.00 TZS
Sale Sold out | Imeisha

Bata mzinga ni ndege jamii ya kuku na hufugwa kwa ajili ya mapambo, nyama na utalii. Ni ndege mwenye kukua haraka na hutaga mayai 10-20 afikiapo umri wa miezi 8 -10. Jogoo hufikia kilo 20 akiwa mkubwa na tetea hufikia uzito wa kilo 8. Katika picha ni bata mzinga mwenye umri wa miezi 8 -12 tayari kuanza kuzaliana.

View full details | Angalia maelezo yote