Skip to product information
1 of 1

ajefarms

Miche ya Migomba Ya Tissue Culture

Miche ya Migomba Ya Tissue Culture

Regular price | Bei ya kawaida 5,500.00 TZS
Regular price | Bei ya kawaida 6,000.00 TZS Sale price | Bei ya mauzo 5,500.00 TZS
Sale Sold out | Imeisha

Aina ya miche hii huzalishwa kwa chupa (Tissue Culture). Ipo ya aina tofauti kuanzia ndizi za kupika (Matoke), kuvundika(Gross Michel, Cavendish nk)  hadi kuchoma (Mkono wa tembo, Mzuzu n.k)

View full details | Angalia maelezo yote