Skip to product information
1 of 1

ajefarms

Miche ya Miembe ya Kisasa

Miche ya Miembe ya Kisasa

Regular price | Bei ya kawaida 5,000.00 TZS
Regular price | Bei ya kawaida 7,000.00 TZS Sale price | Bei ya mauzo 5,000.00 TZS
Sale Sold out | Imeisha

Huanza kuzaa matunda ikiwa na miaka 3; huzaa matunda mengi na yenye radha nzuri sana.

Taratibu za malipo na usafirishashaji: Mara baada ya kuchagua bidhaa utatumiwa picha zaidi kwa WhatsApp kisha unaweza kuifuata bidhaa au kutumiwa baada ya kuchangia gharama za usafirishaji wa bidhaa. 

View full details | Angalia maelezo yote